N° 384
NILIANGAIKA APA DUNIANI
1.
Niliangaika apa duniani si kuone njia «mungu wa rehema akatuma mwana wake ku niokowa.
2.
Bwana yesu alisema mimi niko njia, pakuona baba paka unapita kule nilio pita «wajoli wangu tufuate yesu mwana atuokowe»
3.
Bwana yesu alisema mimi ni muzibu, baba yangu mukulima na myini matawi «tawili takalo ajitenja nani kweli litateketea»
Refrain
Wewe ni nani, na mimi ni nani:
• tumeliweka pa hali pa mungu ku ukumu wataule wake ;
• tumeliweka pa hali pa mungu ku ukumu wachakuliwe wake ;
• tumeliweka pa hali pa mungu ku ukumu wapakaliwe mafuta.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand