N° 39
JINA LAKO NANI
1.
Jina lako nani hili nili nilitukuze "jina langu mimi neno lako la uzima"2x
Refrain
Eh jina langu mimi , baba eh baba neno lako la uzima .
2.
Shamba langu mimi ni mepanda mimea , miti yote ya Edeni ilikuwa ndani yake kweli, "Muti muzuri kwa chakula pia na wakutazama , na mut iwa mauti pia na wa uzima"
3.
Ukumu imekwisha fika tujiweke tayari "Kazi yake kweli mungu imetimia leo "2x
Akutakuwa unyumba mbele yake jehoa mungu
Akutakuwa kabila mbele yake jehoa mungu
Ila neno lake kweli ndilo litakalo timilika
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com : -Mungu wangu usinite muchawi baba eh baba neno lako la uzima -Mungu wangu usinite mulozi