NINAYO SAFARI — Cantiques EUJC

N° 390

NINAYO SAFARI

1.

Ninayo safari ya kuenda mbinguni, mbinguni kwa baba,

2.

Safari ni ndefu ya kuenda mbinguni, na tena ni nguvu,

3.

Ulevi, ingine, uwongo na chuki ni visiki na magogo,

Refrain

Nijani kuna vikwazo vina uyo kwaza wengi, visiki na mamponge inanyi vinavio kuùsha wengi anguka wengi, ni nani awezaye kiviwendosha viote hakuna mwengine ile yesu mokozi.