N° 396
YAKOBO AKA AMUKA USIKU ULE
1.
Yakobo aka amuka usiku ule akachukuwa wake zake wawili ”ni vijiakazi na watoto kuwavusha wavuki” naye Yakobo aliacha peke mungu akashindana naye “akagusa pa jalake uvunguni kashutusha”
2.
Dina lako nani mujoli, dina langu Yakobo, usiitwe yakobo, umeitwa Israeli “akashindana na mungu pia na watu umeshinda”
3.
Nimeona mungu uso kwa uso “pahali apa kweli kweli nimepata uzima”
Refrain
Yakobo uniache niende: mimi sita kwacha unibariki.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand