YESU UNENA — Cantiques EUJC

N° 401

YESU UNENA

1.

Yesu unena na wambieni wana wa jehoa a wakunifata aje twende achukue musalaba ajikane yeye mwenyewe kwa kupita mu njia yangu "Asiwe mu mambo , mu vitu wala mu watu aje twende "2x yeye

Refrain

Kitaweza kunitenganisha na mapenzi yako huyu yesu ni mwaminie nisi mufanie bwana huduma .

Commentaire

Com :-Baba yangu na mama yangu hawawezi kamwe kunitenga na mapenzi yako nisimufanie bwana huduma.

-Muke wangu na watoto wangu " " " " " " "

-Hata watu wakinishutumu " " " " " " "

-Hata malaika za mbingu " " " " " " "

2.

Habari njema tunayo ya taabu na mambo

-Habari njema ya bwana ya uzuriwa miongoni mwetu mwetu "Humo muna mafalme za dunia utungoja kutupiganisha muna yudasi iskariote mumoja wa wale tena shara delila musaliti wa mambo yote jazareni "2x

3.

Wajoli twimbeni tunayo salama ya bwana tushinde ziki na mambo ili , ili tungojee roho wa uzima tu mufanie bwana huduma .