N° 403
TUWE TAYARI
1.
Tuwe tayari kwani siku za bwana zaja zinakuja kama mwizi "2x "Wewe utalaumu nani wakati ungali na tegemea zambi "2x
-"Wewe utalaumu nani wakati ungali na tegemea watu na mali "2x
Refrain
"Roho kuja , roho mufariji kuja "2x (kuja roho) kwa rehema yako E baba tutafika mbingu usituache kwa rehema yako nyingi tuta riti inchi.
2.
Siku za bwana zina kuja (zinakuja ) atatenga kondoo na mbuzi siku zile hakutakuwa unyumba ao urafiki kwa siku zile hakutakuwa kabila mujuwano wowote wajoli wangu bali haki itasimamishwa wajoli "2x
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com : -Ukiwa kasai
-Ukiwa muluba
-Ukiwa muhemba