N° 404
VIUMBE VINE VYENYE UHAI
1.
Viumbe vine vyenye uhai vikiruka hangani utukufu kwa mungu na vyo vikimwimbia mungu wa mababu kwa furaha kubwa .
Refrain
Ee mungu ee unipe roho niwe kiumbe cha roho niende na mimi jangwani ni shindane na shetani , niende na mimi jangwani nishindane na kahaba.
2.
Kushindana na yule shetani usile yake wala usinywe yake chukuwa neno la mungu iwe chakula chako
-Chukuwa neno la mungu liwe kinywaji chako
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand