N° 405
HUDUMA SI WAKO
1.
Huduma si wako , huduma si wagu , huduma ni wa muyuda , huduma wa mu israeli huduma wa baba mungu.
Refrain
Baba jitukuze leo jitukuze , jitukuze leo ndani ya walio wako "2x
2.
Mungu kapenda ulimwengu kamutoa mwana wake ili kila amwaminie asipate kupotea "Bali apate uzima , uzima wa milele uzima wa baba mungu "2x
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com :-Ndani ya walio wako ujitukuze , ujitukuze leo ndani ya walio wako
-Walio wako mitume " " " " " "
-Walia wako na kyungu" " " " " "
-Walio wako ni seya " " " " " "