N° 406
YESU KAMWACHIA PETRO FUNGUO
1.
"Yesu kamwachia Petro funguo ya ufalme" E Petro kwa kilakitu kitakacho fungua duniani na mbinguni kita fungua hivyo E Petro kwa kil akitu kitakacho funguliwa duniani na mbinguni kitafunguliwa.
Refrain
Ee kwa uweza wa bwana mbingu zimefunguliwa . "Kweli kweli kwa uweza wa bwana mbingu zimefunguliwa yoyoyo na roho mwema ameshuka tutukuze mufalume , na roho wa kristu ameshuka tukukuze mufalume "2x
2.
"Ni kikumbuka siku zile alipo fungua mbingu " wakataja jina wakataja hesabu yangu yoyoyo mungu wangu umeandika jina langu mukitabu cha uzima"2x
3.
"Nasii wajoli wangu jazareni kwa anasa " "Kwa kuwa mbingu zimefungwa kwao walio na zambi zimefunguliwa kwa wenye kutimiza mapenzi yake "2x
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand