SIKU ZA HAJABU ZIMETIMIA — Cantiques EUJC

N° 409

SIKU ZA HAJABU ZIMETIMIA

1.

Siku za hajabu zimetimia nani basi atanitetea "Natazamia mukombozi wangu aliniokowa bahamni 2x

Refrain

Mimi na lilia mungu baba na lilia yesu mukombozi na omboleza kwa uzima wangu jina langu mimi lionekane kitabuni.

Commentaire

Cam :-Mbele ya Kadima nionekane jina langu mimi lionekane kitabuni.

-Mbele ya Milemba " " " "

-Mbele ya mulima ni jirike " " " "

-Siku za mwisho ni kubaliwe " " " "

-Ndani ya kitabu ni andikiwe " " " "

2.

Itakuwa kimya na hofu kubwa watu kungojea majina yao malaika kuya peperusha kunya kuwa yanayo kubaliwa .

3.

Nitashangilia siku zile nikilisikia jina langu likishuka ndani ya mawingu nitalisifu jina la muokozi.