MUNGU UNIPE UWEZA — Cantiques EUJC

N° 420

MUNGU UNIPE UWEZA

1.

Mungu unipe uweza, mungu unipe uweza uweza ni kwa baba mbinguni nami ni sitawi milele mungu wangu, mungu unipe uweza uweza ni sije nikaangamia.

2.

Yesu unipe uweza, yesu unipe uweza, uweza ni kwa baba mbinguni nami ni sitawi milele yesu mwana, yesu unipe uweza uweza ni sije nikaangamia.

3.

Roho unipe uweza, roho unipe uweza, uweza ni kwa baba mbinguni nami ni sitawi milele roho mwema, roho unipe uweza ni sije nikaangamia.