MUNGU WANGU UNIONGOZE — Cantiques EUJC

N° 425

MUNGU WANGU UNIONGOZE

1.

Mungu wangu uniongoze baba , mungu wangu uniongoze sina mwengine wa kutegemea mungu uniongoza.

2.

Yesu wangu uniokowe , yesu , yesu wangu uniokowe nani atachukuwa mizigo yangu yesu wangu uniokowe.

3.

Roho mwema nisaidie roho , roho mwema nisaidie sina mwenginewa kunifaniji roho mwema nisaidie.