NITAENDEA NANI MIMI — Cantiques EUJC

N° 426

NITAENDEA NANI MIMI

1.

Nitaendea nani mimi nikupingapo we jehoa jiwe langu u jehoa ngao langu.

Refrain

Eh mungu usiwe mbali nami jehoa usiniache kamwe jiwe langu unikinge unijaze rehema , jiwe la tegemeo langu uniuwie razi.

2.

Moyo wangu usiogope uko na mufariji na muchungaji mwema bwana kwa kila ziki zote.

3.

Naweka moyo wangu mimi mikononi mwa bwana na cha , nashangilia mungu wangu anaeniponesha.

4.

Mungu wa lbrahimu , wa lsaka , Yakobo jiwe langu sayuni bwana uniuwiye razi.