MUNGU ONESHA UWEZA — Cantiques EUJC

N° 428

MUNGU ONESHA UWEZA

1.

"Mungu onesha uweza , onesha uweza wako "2x Sisi twanena uweza wako ( uweza wako) ambao kila mutu awezi kutimiza.

2.

"Yesu onesha uweza , onesha uweza wako "2x Sisi twanena uweza wako , ( uweza wako ) ambao kila mutu awezi kutimiza .

3.

Roho onesha uweza (onesha uweza wako) sisi twanena uweza wako ambao kila mutu awezi kutimiza.