UMOJA NGUYU ZETU — Cantiques EUJC

N° 429

UMOJA NGUYU ZETU

Refrain

(Umoja) umoja nguvu zetu umoja wokovu wetu uh umoja roho zetu.

1.

( Sisi tupo ) sisi tupo kama kondoo iliyo fichwa zizini mwa mufalme wetu yesu "2x

2.

( Nasi tupo ) nasi tupo na umoja taa iliyo mezani na malaika mbinguni .

3.

(Twashiriki ) Twashiriki neno moja tukishirikia kikombe cha damu yake mwokozi "2x

4.

( Ushiriki ) Ushiriki na kikombe uyafuwe matendo yako ya siku laaini.