N° 436
MUNGU WANGU MUNGU WANGU NISIKIE
1.
Mungu wangu mungu mungu wangu nisikie mungu , mungu wangu nisikie nisikie kumaombi yangu nisikie "2x
2.
Yesu wangu mwana wa mungu niokowe , yesu wangu mwana wa mungu niokowe eh yesu mwana unioneshe wokovu wako niokowe.
3.
Roho mwema roho damilifu ni saidie , roho mwema roho damilifu ni saidie eh roho mwema uingie moyoni mwako unisaidie.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand