N° 437
BABA NI MESIMAMA
1.
"Baba ni mesimama na towa yowe kwako "2x Mungu baba ni mesimama natowa yowe kwako Bwana mungu uje leo sikia maombolezo yangu.
2.
Yesu mwana ni mesimama natowa yowe kwako mwana mungu nimesimama natowa yowe kwako kwako mwana mungu uje leo ni chaguweni wokoke.
3.
"Roho mwema nimesimama natowa yowe kwako ~2x (roho mwema ) roho mwema uje leo nifariji mu mateso.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand