MUNGU BABA NI SIKIE — Cantiques EUJC

N° 439

MUNGU BABA NI SIKIE

1.

Mungu baba nisikie , nisikie baba kumaombi yangu eh baba nisikie baba unifariji.

2.

Yesu mwana nisikie , nisikie yesu kumaombi yangu eh yesu nisikie yesu unifariji.

3.

Roho mwema nisikie , nisikie roho kumaombi yangu eh roho nisikie roho unifariji.