MUSAFIRI BAADO NIKO NIIANI — Cantiques EUJC

N° 44

MUSAFIRI BAADO NIKO NIIANI

1.

Musafiri baado niko njiani si juwi lini nitafika ukumbi umeni songa baba unirehemu 2x

Refrain

Ninalia mimi , na umia mimi " Baba yangu na tabika mwili umenisonga baba unirehemu"2x

2.

Sauti ikanita shambani ni kashikwa na woga , ni kashikwa na haya nika vaa majani baba unirehemu.

3.

Yawe fanye nini na mwili huyu wa zambi Baba yangu mi na kwita ukinyacha mitakufa baba unirehemu"2x