N° 441
UNIONGOZE
Refrain
Uniongoze , uniongoze , uniongoze eh mimi sitaogopa mimi taenda naye popote.
-Yesu ni muzigo wangu ni muzigo nilionao katika taabu na mishiba.
-Yesu tegemeo yangu tegemeo niliona ye katika taabu na bishiba .
-Yesu ni njia yangu ni njia niliona katika taabu na mishiba
-Yesu ni wokovu wayu ni wokovu nilionaoka katika taabu na mishiba.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand