JEHOVA NI NURU — Cantiques EUJC

N° 442

JEHOVA NI NURU

1.

(Jehova) jehova ni nuru yangu na wokovu wangu sitaofu ( aleluya ) hata waje madui zangu ku ni huzuru mimi sitaofu.

Refrain

-Mpenzi jehova mungu ah jehova mungu ukinge huhai wa mwana vema

-Mpenzi masiya wangu " " " " " " " "

-Mpenzi roho damilifu " " " " " " " "

2.

(Na miji ) na miji yote njoni tumutukuza yeye tumuomba aleluya tuombe ( njoni wote tuombe ) kwajina la mwana wake yesu bwana wangu tumuomba.

3.

( Furaha) Furaha yote itabaki njoni wote tumuomba omba aleluya kwa jina la mwana wake yesu bwana wangu tumuomba.

4.

( Tupewe ) Tupewe furaha yetu ya milele wote tumuomba , omba aleluya kwa jina la mwana wake yesu bwana wangu tumuomba.