N° 445
MUNGU BABA NA KUOMBA UNIONDOSHEE MWIBA
1.
Mungu baba na kuomba uniondoshee mwiba mimi mwana wako baba na kuomba uniondoshee mwiba.
2.
Yesu wangu na kuomba uniondoshee mwiba mwana wa mungu na kuomba uniondoshee mwiba wewe mwokozi wangu na kuomba uniondoshee mwiba.
3.
Roho mwema na kuomba uniondoshee mwiba wewe mufariji wangu na kuomba uniondoshee mwiba.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand