SIKUWA NAJUA — Cantiques EUJC

N° 455

SIKUWA NAJUA

1.

Sikuwa najua maneno ya takayo ni jia mateso makubwa yaka nijia bila kujua ila mungu tumwimbie siku zote yeye atujua kwa kumaliza mateso yangu ila kwa rehema .

Refrain

( Sita lahumu ) sita lahumu mutu kamwe ata akiwa muchawi sitaregeza moyo wangu na kuharibu uzima wangu mungu wa uzima nisikie ninapo kuomba baba mumbaji nisikie ninapo kuomba .

Commentaire

Com :-Ata yeye akiwa mulozi

-Ata yeye akiwa musharati

-Ata yeye akiwa muongo

2.

Sinayo furaha kwa mambo nionayo uburudishe nafsi yangu mungu wa rehema.

3.

Tunayo hukumu kwani twapinga bwana sisi tusi mupinge mungu wa uzima kwajili ya taabu na kuzifwata njia zingine njia za mauti.