N° 458
MULA HUU TUNAO
1.
Mula huu tunao wa taabuna mambo ni wakati wa sisi kuomba kwa mungu wa uweza mungu wa uzima mufalme wa wafalme.
Refrain
Hei tuli ee eyo yoyo tolie kweli twambie mungu wetu mateso (mambo haya ) mambo haya mambo ni ya kale (ya kale )ya tujia leo mungu atusikie . Ehi tuli ee ei tuli e yopoyo tuli kweli twambie mungu wetu atatenda mambo haya mambo ni ya kale ya kale ya tujia leo mungu atusikie.
2.
Mungu wewe ni mumbaji mumbaji uliumba watu wakubali unayo ya nena tupo sisi twaomba twalia mungu wetu utu hurumie mu yesu mwana we.
3.
Kwa yule asie tambua mutu yule mateso ya yesu siku zote katika yudea , mwokozi alie tumwa kwetu sisi kwa kutuokowa katika taabu zetu duniani.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand