N° 46
NI KITU GANI KINITENGACHO
1.
Ni kitu gani kiningacho na mungu wa uzima "2x "(Eh mimi) mimi peke yangu wajoli kujitenganisha na mungu wa uzima "2x
2.
Mungu tazama akili zangu zimenitoa shambani mwako~2x Mungu wa uzima ni shushie maharifa eh baba ni riti shamba lako Mungu wa uzima ni shushie maharifa eh baba ni riti chamba la Edeni .
3.
Umenitoa mavumbini niwe muchungaji wa dunia Umenitoa mavumbini hili ni pate wokovu Mungu wa uzima ni shushie roho wako eh baba hili aniongoze.
Refrain
Uniokoe , uniokoe , uniokoe bwana wa rehema .2x Uniokoe bwana wa rehema jina lako lisifiwe ( eh baba ) uniokoe bwana wa rehema jina lako liogopwe.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand