N° 460
JEHOVA MUNGU EE MUNGU MUMBAJI NISIKIE
1.
Jehova mungu ee mungu mumbaji ni sikie mungu wangu nisikie , mimi mwana wako nisikie.
2.
Yesu wangu ee mwana wa mungu niokowe e Yesu wangu uniokowe mimi mwana wako uniokowe
-Mwokozi wangu uniokowe mimi mwana wako uniokowe.
3.
Roho mwema ee roho damilifu unifariji , roho mwema unifariji mimi mwana wako unifariji.
-Eh roho mwema unifariji mimi mwana wako unifariji.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand