YESU MIMI MBELE YAKO — Cantiques EUJC

N° 468

YESU MIMI MBELE YAKO

1.

"Yesu mimi mbele yako na pungukiwa na nguvu naomba moyo uwe safi unisaidie leo "2x

Refrain

"Baba unisaidie leo, mwana unisaidie leo , roho damilifu na penda peke yako unisaidie leo "2x

2.

"Mambo mbovu ya shetani yapo hapa siku zote ni na hofu ju ya taabu zake unisaidie leo "2x Baba

3.

"Yesu wewe yupo pote yuapa wakati huu baki nasi daima unisaidie leo "2x Baba.

4.

"Nina kwabudu hapa sasa nina lia sana kwako yesu usi nipinge ndimi mwanawe unisaidie leo "2x Baba.