N° 476
SISI TU WASKARI WA YESU KRISTU
1.
Sisi tu waskari wa yesu kristu twanenda vitani ya habari njemba bwana atufariji "2x
Refrain
( Basi vaeni ) sila za vita za habari njema ili watu wamujue yesu wa mungu nao wa mwamini "2x
2.
"( Maduwi ) maduwi wapo na mandishi ya uwongo ya kupotosha wafwasi wawe wa huni wasi mche mungu "2x
3.
" (Tuombe ) tuombe uweza kwa jeho va mungu baba atufariji kama vile israeli zamani zile "2x
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand