SISII TUU SISI TU WASKARI WA YESU KRISTU — Cantiques EUJC

N° 478

SISII TUU SISI TU WASKARI WA YESU KRISTU

1.

" ( Sisi tuu ) sisi tu waskari wa yesu kristu tuchukuwe sila za vita tumushinde shetani "2x

Refrain

( Ila mimi ) mimi ni na ngao yangu ya vita waraka wa mungu neno la uzima sina dawa sina vinyago kama ukingo sila zangu yesu wangu mwana wa mungu "2x

2.

( Ndugu ululize ) ululize kwa kwahiyari ndugu mu yesu usiwe umevukwa shetani ukiojana na watawa.

3.

( Wewe usiwe ) usiwe umekwisha musulubisha yesu bali ukitembea na biblia , biblia makwapani.