YESU KAMWAMBIA BABA EH BABA NENDA DUNIANI — Cantiques EUJC

N° 481

YESU KAMWAMBIA BABA EH BABA NENDA DUNIANI

1.

Yesu kamwambia baba eh baba nenda duniani hukoo AAAH !! nenda kwa kuokoa chochote kilicho potea "Atakae amini kila yeyote amwaminie hawezi kufa kamwe 2x

Refrain

Baba twakushukuru , twakushukuru mungu baba kwani roho ameshuka.

Commentaire

Com : -Mufalme twakushukuru , twakushukuru mfalme yesu neno limetimia.

-Roho twakushukuru , twakushukuru roho mfariji ameingia mioyoni

-Basi leo tupo , tupo na furaha kubwa furaha ya shangwe kubwa

2.

( Yesu kawambia wafwasi ) wafwasi furahini kwenda kwenda kwangu AAAH !! Baadaye roho atawashukia kwajili awachukuwe "Na roho mufariji atapaa na watu wake wote wana wa israeli "2x

3.

Leo roho ameshuka , ameshuka kwao wali mwamini AAA !! wameriti muji waamani mulima wa sayuni "Uyo yerusalema yerusalema wa mbinguni muji wa shangwe kubwa ( wa furaha kubwa ) "2x