N° 484
MUNGU MUFALUME WA WATU
1.
"Mungu mufalume wa watu "2x "Yeye muweza wa yote wa mwanzo na mwisho wa dunia"2x
2.
"Yesu mukombozi wa watu "2x "Yeye muweza wa yote wa mwanzo na mwisho wa dunia "2x
3.
"Roho mufariji wa watu "2x "Yeye muweza wa yote wa mwanzo na mwisho wa dunia "2x
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand