N° 49
ADAMA NA HAWA
1.
Adama na hawa kubeula mwana mungu masiya taabu ikawajiya.
Refrain
(Ewe rafiki ) wewe mwenye kukufuru ujiulize uishi sehemu gani.
2.
Bwana yesu mwana mungu akaja duniani masiya ili aokowe watu .
3.
Fikili vema leo upande uishiko ndugu yangu wa kondoo ama wa mbuzi.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand