KUWA NA MIUNGU MINGINE SI VEMA — Cantiques EUJC

N° 497

KUWA NA MIUNGU MINGINE SI VEMA

1.

Kuwa na miungu mingine si vema kuji fanyia sanamu na kuiabudu , kutaja jina la jeho na viibaya ku mambo isiyo ya kweli na faida.

-Ewe baba nawe mama uvaa super nawe ukufuru mungu

-Ewe kaka pia na wewe dada uvaa koti nawe ukufuru mungu

Refrain

Baba ukila na ushiba leo wewe umesahu mungu wa uzima.

Commentaire

Com : -Kama ukiuza voiture yako : wewe umesahau mungu wa uzima

-Kama ukipata faraja yako : " " " "

 Temps mort de refrain

-Siku utakufa mwilini humu nani atabaki na nzambi zako utaenda nazo ?

-Siku utakufa mwilini humu nani atabaki na chuki yako hakuna !

"( Jehova mungu ) "2x mahali petu pakweli ni mbinguni mwa mufalme wajoli tupo wageni mungu wangu hapa duniani.

-Ukona jikuza ukikufuru jehova hamujuwisi kuya kifo na magonjwa .