N° 499
NIMEKWISHA KAZI YAKO BABA
1.
Nimekwisha kazi yako baba , ni mekwisha kazi yako baba , "Kazi zote ulizo nituma mimi mwana wako "2x
Refrain
Mungu wangu baba na rejea niwe wako siku zote
-Mungu wangu baba na rejea niwe wako siku zote
-Watu hawa wote wawe wako siku zote mungu wangu
-Waminifu wote wawe wako siku zote mungu wangu
2.
Sikupoteza hata mumoja baba , sikupoteza hata mumoja baba ila yuda mupotevu baba mimi mwana wako.
3.
"Mushaara wangu uko wapi baba , mushaara wangu uko wapi baba , mushaara wangu uko wapibaba mimi mwana wako "2x
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand