N° 5
JEHOVA MUNGU ANANENA
1.
Jehova mungu ananena, "ananena" watu wote njoni (njoni leo) njoni , wote , njoni wote yeye anawalika.
2.
Yesu wa mungu ananena (ananena) watu wote njoni (njoni leo ) njoni wote, njoni wote yeye anawalika.
3.
Roho da,ilifu ananena (ananena) watu wote njoni (njoni leo) njoni wote , njoni wote yeye anawalika.
4.
Neno la uzima linanena (linanena) watu wote njoni (njoni leo) njoni wote , njoni wote linawalika wote.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand