N° 502
UKUBWA WA MUNGU
1.
"Ukubwa wa mungu "2x "Rehema ya yesu baba faraja ya roho "2x
Refrain
Mikaeli shuka na jeshi la mbingu "2X
2.
Mungu alivyo tupenda katuma Samaeli katuma Casieli "Kwaajili ya nguvu baba mu kazi ya mungu "2x
3.
Mungu alivyo tupenda katuma Rafaeli , katuma Anaeli "Kwaajili ya kuona baba mu kazi ya mungu "2x
4.
Mungu alivyo tupenda katuma Gabrieli , katuma Sachieli "Kwaajili ya furaha baba mu kazi ya mungu "2x
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com : -Tenda ishara
-Onyesha uweza
-Tenda maajabu
-Gideoni shuka na jeshi la mbingu