B) NJOONI KWA YESU MIMI NA WEWE — Cantiques EUJC

N° 508

B) NJOONI KWA YESU MIMI NA WEWE

1.

Njooni kwa Yesu mimi na wewe, njia ya tuonya hatuijue, jua jioni na mwenyewe Mwenyezi mungu na tumutii njoo.

Refrain

Njooni nafura, nafuraa (tutaonana) tutaonana, myoyo ikitaswa saana (kwake) kwake Mwokozi kuonana na milele kukaa. (2X)

2.

Wana na wazee watwambia, furahaeni mukisikia, ndiye mufalme we tufia na tumutii njoo.

3.

Tumkaribiye sisi sote Yesu Bwana uutualika, tumpinga po ni mauti daima, na tumutii njoo.