N° 509
WAKATI MUNGU ALIPO UMBA MBINGU NA DUNIA
1.
Wakati Mungu alipo umba Mbingu na Dunia, ”akaumba nuru, yoyoyo, akaumba nafasi, akaumba miti”(2X).
Refrain
(Bwana Mungu akanena) nimepata kiumbe kitakacho tukuza ukubwa wangu(X2)
(Mitume kanena) nimepata kiumbe kitakacho tukuza ukubwa wangu.
(Mababu kanena) nimepata kiumbe kitakacho tukuza ukubwa wangu.
2.
Akaumba miangaza yoyoyo, akaumba nyama mutu akuako (X2).
3.
Akaumba mutu yoyoyo, akamubariki muzidi na kuongezeka (X2).
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand