N° 51
ADAMA ALIKUWA NA WANA WA WILI
1.
Adama alikuwa na wana wa wili , mukubwa Kaini mulimaji udongo ( mudogo) Abeli mulinzi
2.
wa kondoo .
Refrain
Wa ndugu tu chunge neno , sisi twache ku chukiana tu sije tu kaangamia kwajili ya anas aya dunia .
3.
Siku zilipita kaini na Abeli "Wote ( wawili) wakatoa zabihu zao kwa biwana (udogo) Abeli kaeshimiwa ."2x
4.
Sikilizeni usemi wa mumbaji enyi wajoli kama Kaini akalipishwa kisasi mara saba eh iwe kwako mara makumi sabana saba.
Commentaire
Com : -Utukufu ku neno mara makumi saba na saba -Upendo kiasi mara makumi saba na saba
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com :Ndugu yangu kaini : akatangatanga kwajili ya kuchungulia Alipenda kuona : " " " " " " " " " " " " " " " " " " " " Mupendaji anasa : " " " " " " " " " " " " " " " " " "