NINYI NDEGE ZA MBINGU, PASHENI HABARI MU WATU — Cantiques EUJC

N° 510

NINYI NDEGE ZA MBINGU, PASHENI HABARI MU WATU

1.

Ninyi ndege za Mbingu, pasheni habari mu watu “ili Mungu wenu aimidiwe mu dunia”(X2).

Ninyi Mbingu, Mbingu zitikisike, Mbingu zitikisike kweli (wokovu leo) umekuja kwetu kweli, wokovu leo leo umekuja.

Refrain

Ju ya Neno Ima Mungu, nitaenda yoyoyo nitaenda nawe Mbinguni (X2)

Commentaire

Kwa kuhubiri Neno, nitaenda yoyoyo nitaenda nawe Mbinguni

Kwa kufundisha watu, nitaenda yoyoyo nitaenda nawe Mbinguni.

2.

(Yesu uyu) Yesu wa Mungu alikuja duniani kukomboa watu hawa (wokovu leo) umekuja kwetu kweli (wokovu leo leo) umekuja kwetu (X2).

3.

Enyi wake kujeni kwa Roho mwema, pokeeni Roho mwema wenu, (Roho mwema uyu) aliyaidia baba zenu (Roho mwema uyu) aliyaidia baba zenu.