HAPO MWANZO — Cantiques EUJC

N° 513

HAPO MWANZO

1.

Hapo mwanzo Mungu aliziumba Mbingu na Inchi na bahari kubwa yoyoyo ah „(Roho wa Mungu) akatuliya juu ya uso wa maji“ (X2)

Refrain

Tuondokeni duniani, tutembee ju ya bahari ili tuwe mbinguni muheshimo baba, baba ya wenyi uwayi „(inchi yaani) mwili (mbingu) yaani Roho ya Mungu (maji) mafundisho (nuru) ufahamu (giza) upungufu“(X2).

2.

Mungu akatenga nuru na giza, nuru muchana na giza usiku yoyoyo ah, „(ati baba) uwe nuru ao uwe giza“ (X2).

3.

Inchi katoa majani kwa ginsi yake, maboga na miti, matunda na mbegu yoyoyo ah; “wana wa Mungu toeni matunda yenyi kufaa toba” (X2).

4.

Mungu akaumba viumbe vyenye uhai, ewani na ndege nyangumi majini yoyoyo, „(mutu akawa) mumiliki wa vyote yoyoyo ah“ (X2).

Commentaire

(Twakushukuru) he Yawe yoyoyo (yoyoyo) Baba wa wenye uwahi.

Baba Mumbaji wangu eh Yawe yoyoyo Baba wa wenye uwahi.

Wewe tegemeo langu eh Yawe yoyoyo Baba wa wenye uwahi.