N° 514
ANA ALIMULILIA MUNGU
Ana alimulilia Mungu, (Ana eh) Ana alimulilia Mungu,
Mungu wangu unipe mutoto mimi nitakushukuru
Mungu muumbaji wangu unipe uzima mimi nitakuimidi
Wewe tegemeo langu, unipe tegemeo langu mimi nitakuudumia
Refrain
Ana kafunga chakula, kalilia Mungu, Ana akalilia Mungu eh
(Mungu wangu) unipe mutoto mimi nitakushukuru,
(Mungu muumbaji wangu) unipe uzima mimi nitakushukuru,
(wewe tegemeo langu) unipe Roho wako mimi nitakuudumiwa.
Eli kohani wa Mungu kamuuliza mbona umefunga uso wako, mbona umelewa kwa muvinyo; mimi silewe kwa muvinyo nalilia Mungu eh, mimi nalilia Mungu.
Mungu wangu unipe mutoto mimi nitakushukuru
Mungu muumbaji wangu unipe uzima mimi nitakuimidi
Wewe tegemeo langu, unipe tegemeo langu mimi nitakuudumia
Sara alimulilia Mungu, Sara eh, Sara alimulilia Mungu.