KIWETE — Cantiques EUJC

N° 516

KIWETE

1.

Kiwete katika Yerusalema wafuasi wa Yesu wakamuponya Kiwete sasita hekaluni (X2)

Refrain

(Kiwete yoyo) akaenda

(Kiwete) na shangwe

(Kiwete) akiruka akanena, alelua Bwana kweli nafarijiwa (X2)

2.

(Petro), Petro akamujibu mimi sina zahabu wala dollar ila kwa jina la Yesu Bwana simama wenda zako (X2)

3.

Walio, waliomo mutao waliomuona kikwete, akiienda akiruka wakajaa mushangao, wakistajabia (X2).