N° 517
OLE DUNIA MAKAO YA YULE SHETANI
1.
Ole dunia makao ya Yule shetani, ole dunia makao ya Yule shetani dunia ya ziki na mambo mimi sitaishi dunia, dunia ya ziki na mambo mimi sitaishi dunia (X2)
Refrain
Aj dunia yoyo, ah dunia yoyo sitaishi dunia mimi Mungu unifariji moyo huo, dunia ya maombolezo sitaishi dunia:
Niwe na mabawa dunia ya mombolezo sitaishi dunia
Nikamuone Baba dunia ua mombolezo sitaishi dunia
Baba wa mbinguni dunia ua mombolezo sitaishi dunia
Baba wa salama dunia ua mombolezo sitaishi dunia
2.
Nikitazama huko dunia mimi sione salama mateso na vilio yoyo mimi sitaishi dunia, mateso na vilio yoyo mimi sitaishi dunia (X2)
3.
Mimi sitaketi duniani, dunia ya wenye mateso, mimi nitapaa mbinguni, mbinguni ya wenye furaha wenye furaha wenye ukimya yoyoyo sitaishi dunia (X2).
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand