N° 518
UKINGONI MWA MUTO YORDANI
1.
Ukingoni mwa muto Yordani, Elisa na joo ya Elia uko wapi Mungu wa Elia njooni muone ujio wa Bwana njooni muone ujio wa Bwana (X2)
Refrain
Mihuri ya Bwana ni vichani mwetu
Atukuze Mungu wa uzima (X2)
Na mafuta tele tumepakaliwa
Atukuze Mungu wa uzima (X2)
Mamulaka yote tumekwisha pewa
Atukuze Mungu wa uzima (X2)
2.
Roho mwema usemi wa Yoweli aliahidiya wa mitume na kuhakikisha juu ya Roho, Yuu aja yu miongoni mwetu, Yuu aja yu miongoni mwetu (X2).
3.
Hakikisho la kutakasika, ushirika wa uduma njema, ushirika wa Mungu na watu, Roho mwema Roho wa Kristo, Roho mwema Roho wa Kristo (X2).
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand