N° 519
KATIKA WANA WA YAKOBO
1.
Katika wana wa Yakobo wakakosa upendo « wakauza ndugu ye aitwae Yusufu » (X2).
Refrain
Ewe mujoli uenda wapi njiani mwa Mufalme
Ewe mujoli uenda leo njiani mwa Mufalme
(Ndugu jiazari) usiuze mwana mu mambo ya dunia
(Ndugu jiazari) usiuze neno mu mambo ya duniani.
2.
Wakamushika Yusufu wakamuchovya birikani « wakaenda kumuuza kwenye Waismaeli » (X2)
3.
Kuchafua joho lake kwa damu ya ufugo « kumudanganya Yakobo nyama mkali amemula » (X2).
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand