N° 520
KUREJEA KWANGU KUNAFURAHISHA BWANA
Refrain
Kurejea kwangu kuna furaisha Bwana (Mungu wa Rehema) (X2) (yoyo eh) yakini Baba nimekosea mbingu mimi yakini Baba ah ah nimetenda zambi machoni pako « usiniite muzaliwa wako mimi ni mutumishi wako » (X2)
1.
Maavazi yangu yamechafuka mimi muharibifu wa vitu vya Baba, maganda ya miti chakula cha nguruwe ni chakula changu, « nimepotea, nimepotea, nimepotea Baba yangu » (X2)
2.
Niamuke niende kwenye Baba nilie eh, nimepotea, nilie eh nimerejea, « nimerejea, nimerejea, nimerejea baba yangu ».
3.
Mmuvikeni mwana wangu kitani nzuri, mumuvikeni eh eh pete kwa kidole, mumuvikeni iyi viato ku miguu, njoo tuimbe leo tufurahi we kwa ajili ya mwana wangu njoo tuimbeleo tufurahi kwa ajili ya mwana wangu.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Kwa ajili ya Mwana wangu, eyowa Aliyepotea eyowa
Ya Mwana wangu eyowa Alipotelea waapi eyowa
Mu kapombe eyowa Alipotelea waapi eyowa
Mukabibi eyowa Alipotelea waapi eyowa
Mu buchawi eyowa leo amerejea eyowa
Ameogopa hukumu eyowa buchawi bumukome eyowa
Kapombe kamukome eyowa na kabibi kamukome eyowa
Sasa leo iko huru eyowa amerejea kwa Baba eyowa
Ee njoni twimbeee tufurhiwe kwa ajili ya mwana wangu, ee njoni twimbeee tufurahiwe kwa ajili ya mwana.