N° 522
TIMIZA NAZIRI ZAKO KWA MUHUMBAJI
1.
Timiza naziri zako kwa mumbaji usitazame mawimbi,usitazame upepo shambani,usitazame mawimbi tupa mbingu bahari itatulia(x2)
Refrain
Ole wangu, ole, ole wangu, babangu kanizaa mutu wa taabu, amenizaa mutu wa vita nisiokopeshwa nimedaiwa ni siochukua nimenyanganywa njiani nimeshutumiwa na hatia,
“(oh Jehova) malaika wa Bwana unitagulie, malaika uliejirika kwangu kambini” (x2).
2.
Timiza naziri zako kwa Muumbaji, kwa nini kulia ju ya mwiba neema yako imekutosha utukufu wako ni ku mwiba huo (X2)
3.
Timiza naziri zako kwa Muumbaji, kama nilivyo kuwa na baba zako ndivyo nitakavyo kuwa nawe sitakupungukia kamwe (X2).
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand