NILIANGAIKA HAPA DUNIANI SIKUONA NJIA — Cantiques EUJC

N° 523

NILIANGAIKA HAPA DUNIANI SIKUONA NJIA

1.

Niliangaika hapa Duniani sikuona njia (x2) ” Mungu wa rehema akatupa Mwana wake kuniokowa” (X2).

Refrain

(Ah, ah wewe) wewe ni nani, na mimi ni nani ;

Mimi na wewe tumejiweka pahali pa Mungu kuhukumu wateule wake ;

Mimi na na wewe tumejiweka pahali pa Mungu kuhukumu wachaguliwa wake ;

Mimi na wewe tumejiweka pahali pa Mungu kuhukumu wapakaliwa mafuta (X2)

2.

Bwana Yesu alisema mimi ndimi Njia, kwa kuona kwa Baba mpaka mule nilimopita, « wajoli wangu tuache Yesu Bwana atuongoze » (X2).

3.

Bwana Yesu alisema mimi muzabibu Baba yangu mukulima na nyinyi ni matawi tawi litakalo jitenga nami lita eketea (X2)