N° 524
SALAMU KWENU
1.
Salamu kwenu, salamu kwenu, salamu kwenu rafiki za Mfalme, nyi wajoli kwa Neno la Mungu salamu kwenu na furaha kubwa « Jehova Mungu awalinde kwa matendo yenu awalinde katika safari kwa tendo pia kwa tamko yeye ni Mwamba » (X2)
Refrain
Basi wewe baba, nawe mama upingapo Neno la Mungu basi wewe « utatupwa katika Jehanamu » (X2).
2.
Sisi sote (X3) tupo kama wageni jihazarini na mambo wajoli ya Ulimwenguni tutapata uzima « Yesu wa Mungu atatuokowa katika ziki zote atulinde katika safari kwa tendo pia kwa tamko tusimukanushe » (X2).
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand